Breaking


Jumatano, 30 Julai 2025

DKT. SAMIA AZINDUA KIWANDA CHA URANI NAMTUMBO

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani cha Mantra Tanzania Limited kilichopo katika Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, tarehe 30 Julai, 2025.




Hakuna maoni: