RASMI: Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Lassine Kouma mwenye umri wa miaka 21 raia wa mali kutokea klabu ya Stade Mallien ya nchini kwao na atavaa jezi namba nane (8) iliyokuwa ikivaliwa na Khalid Aucho.
Usajili wa Lassine Kouma unakuwa usajili wa tano (5) mpaka sasa kwenye kikosi cha Yanga SC baada ya Moussa Balla Conte, Offen Chikola, Abdulnasir Mohamed na kocha Romain Folz ambao wametambulishwa mpaka sasa kunako viunga vya Jangwani.
#AnoldMathias255✍🏾
#TukutaneUwanjani⚽️

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni