Breaking


Jumamosi, 26 Julai 2025

RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA SHIRIKA LA FEDHA NA UJENZI LA KOREA IKULU CHAMWINO


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana  na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirika la Fedha na ujenzi la Korea (Korea Infrastructure Finance Corporation)(K-FINCO) Dkt. Eun-Jae Lee aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 26 Julai, 2025.

Hakuna maoni: