Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetoa viwango ubora wa vilabu vya CAF 2025, kabla ya droo ya awali ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC).
Klabu ya Simba SC imeshika nafasi ya 5 kwa ubora Afrika ikiwa na alama 48 huku watani zao Yanga SC wakishika nafasi ya 12 wakiwa na alama 34.
Pia klabu ya Namungo FC imeshika nafasi ya 75 kwa ubora wa vilabu Afrika ikiwa na alama 0.5.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni