Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja (katikati) akiteta jambo na Meneja wa Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Mhandisi Boniface Guni wakati wa ziara yake kikazi katika kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma, Agosti 7, 2025.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja (wa kwanza kushoto) akimsikiliza Meneja Mradi kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma Bw. Beria Vorster. Kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Mhe. Ngollo Malenya.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni