Breaking


Ijumaa, 29 Agosti 2025

DOKTA SAMIA KUUNGURUMA MOROGORO


MGOMBEA Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dokta Samia Suluhu Hassan anatarajia kutikisa katika Mkoa wa Morogoro.

Akiwa njiani kuelekea Morogoro,Dokta Samia atafanya mkutano wake wa kwanza eneo la Ngerengere na baadae Mkutano mkubwa katika viwanja vya Jamhuri.

Kampeni za CCM zimezinduliwa rasmi Agosti 28,2025,katika viwanja vya Tanganyika Packers jijini Dar es Salaam,kwa ajili ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu.

Hakuna maoni: