Morocco 🇲🇦 ni Mabingwa wa michuano ya CHAN2024 ambayo ilikua ni michezo inayohusisha wachezaji wanaocheza ligi za ndani baada ya kulifunga Taifa la Madagascar 🇲🇬 kwa magoli 3 kwa 2.
Kumbuka Kuwa michuano hii iliandaliwa na mataifa 3 ambapo ni Tanzania 🇹🇿 , Kenya 🇰🇪 na Uganda 🇺🇬.
Ilikua michuano ya aina gani kwako? Jambo gani limekuvutia katika michuano hii?

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni