Breaking


Jumamosi, 9 Agosti 2025

SIMBA,YANGA KUANZIA UGENINI KLABU BINGWA AFRICA


Klabu za soka za Tanzania Simba na Yanga zimepelekwa Botswana na Angola baada ya kufanyika droo ya michuano ya CAF ngazi ya klabu (CAF CL na CAF CC).

Simba SC itacheza na Gaborone United ya Botswana huku Yanga ikipangwa kucheza dhidi ya Wiliete Benguela ya Angola.

Klabu zote mbili zitaanzia ugenini na kumalizia nyumbani.

Ni droo ya hatua za awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) na Kombe la Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC).

Hakuna maoni: