Breaking


Jumanne, 12 Agosti 2025

WASANII WASHIRIKI HARAMBEE YA CCM KUCHANGISHA SHILINGI BILIONI 100 KUSAIDIA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU 2025

 



  
Wasanii mbalimbali wakishiriki Harambee ya Chama cha mapinduzi kwa ajili ya kuchangisha Fedha Shilingi Bilioni-100 za kusaidia kampeni za chama hicho kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.



Harambee hiyo ya kitaifa inafanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam, na mgeni Rasmi ni Mwenyekiti wa CCM Rais Dokta Samia suluhu hassan.
Kwa mujibu wa takwimu za CCM, hadi sasa chama hicho kina zaidi ya wanachama Milioni-13 ambao wamesajiliwa kidigitali na Harambee hiyo iko wazi hata kwa vyama vingine vya siasa kuchangia.



Hakuna maoni: