Breaking


Jumatatu, 29 Septemba 2025

𝗠𝗚𝗢𝗠𝗕𝗘𝗔 𝗨𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗔𝗧𝗜𝗔 𝗡𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗣𝗔𝗡𝗚𝗔𝗡𝗜


Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 amewasili na kupokelewa na maelfu ya wananchi wa Pangani mkoani Tanga wakiwa na utayari wa kusikiliza sera na ahadi za CCM kutoka kwake.


𝙋𝙖𝙣𝙜𝙖𝙣𝙞 𝙬𝙖𝙢𝙚𝙙𝙝𝙖𝙢𝙞𝙧𝙞𝙖 𝙠𝙪𝙢𝙫𝙪𝙨𝙝𝙖 𝘿𝙠𝙩. 𝙎𝘼𝙈𝙄𝘼 𝙞𝙛𝙞𝙠𝙖𝙥𝙤 𝙊𝙠𝙩𝙤𝙗𝙖 29, 𝙝𝙞𝙡𝙞 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙡𝙞𝙩𝙝𝙞𝙗𝙞𝙩𝙞𝙨𝙝𝙖 𝙠𝙬𝙖 𝙫𝙞𝙩𝙚𝙣𝙙𝙤


Dkt. Samia yumo wilayani Pangani katika muendelezo wa mikutano yake ya kampeni za Urais ambapo leo anatarijiwa pia kufikia Muheza na Tanga Mjini.



#KaziNaUtuTunasongaMbele#OktobaTunatiki🇹🇿✅

Hakuna maoni: