Maelfu ya wananchi wa Jimbo la Bukoba Vijijini wamefurika katika mkutano wa kampeni wa Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk Emmanuel Nchimbi uliofanyika katika eneo la Katoro mkoani Kagera. Wananchi hao walikuwa wakishangilia ahadi za ilani ya CCM huku wakiahidi ifikapo Oktoba 29 mwaka huu kura zao ni kwa CCM waweze kunufaika na miradi mbalimbali ya maendeleo.
Jumapili, 7 Septemba 2025
BUKOBA VIJIJI WAMWAGA SHANGWE MAPOKEZI YA CCM
Tags
# HABARI
About Madelemo News
Independent Journalism. In-Depth Analysis. Trusted Reporting. Madelemo News is your go-to digital media platform for comprehensive news, insightful analysis, and stories you can trust. Stay informed, stay ahead.[Read Analysis] Contact Us madelemonews@gmail.com +255 714 195 999
HABARI
Labels:
HABARI
Independent Journalism. In-Depth Analysis. Trusted Reporting. Madelemo News is your go-to digital media platform for comprehensive news, insightful analysis, and stories you can trust. Stay informed, stay ahead. [Read Analysis] Contact Us @madelemonews@gmail.com +255 714 195 999
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)






Hakuna maoni:
Chapisha Maoni