Breaking


Jumatano, 3 Septemba 2025

DKT. SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA VWAWA







 Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Vwawa katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Songwe tarehe 03 Septemba, 2025.

Hakuna maoni: