Breaking


Jumamosi, 6 Septemba 2025

MAVUNDE AFANYA KAMPENI MTAA KWA MTAA

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtumba kwa tiketi ya CCM Ndg. Anthony Mavunde ameanza rasmi awamu ya kwanza ya kampeni yake ya mtaa kwa mtaa kwa kila kata kuzungumza na makundi mbali katika maeneo husika.







Ndugu Mavunde leo alikuwa kata ya Iyumbu na kutembelea na kuzungumza na wananchi wa Mitaa ya Iyumbu,UDOM,Mwinyi na Nyerere ambapo pia alitumia fursa hiyo kuwaombea kura Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. Samia S. Hassan na Mgombea Udiwani wa kata ya Iyumbu Ndg. Sadick Mponyamili

Hakuna maoni: