Kwa mujibu wa Barua ya Mwekezaji na Rais wa heshima Mohamed Dewji (Mo Dewji) amemteua Crecetus Magori kuwa Mwenyekiti Mpya wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC. Baada ya barua hiyo kwaiyo MO Dewji atabaki kuwa Mwekezaji na Rais wa Simba SC.
WAJUMBE WAPYA WA BODI UPANDE WA MOHAMED DEWJI
• Barbara Gonzalez - Mjumbe wa Bodi
• Hussein Kitta - Mjumbe wa Bodi
• Azim Dewji - Mjumbe wa Bodi
• Rashid Shangazi - Mjumbe wa Bodi
• Swedi Mkwabi - Mjumbe wa Bodi
• Zuly Chandoo - Mjumbe wa Bodi
• George Ruhango - Mjumbe wa Bodi
#Anoldmathias255✍🏾


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni