Breaking


Jumapili, 28 Septemba 2025

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMAPILI: MAN UTD & LIVERPOOL WAMUWINDA BRANTHWAITE

 

Liverpool na Manchester United wanatazamiwa kushindania usajili wa pauni milioni 65 wa mlinzi wa Everton mwenye umri wa miaka 23 wa Uingereza Jarrad Branthwaite. (Mirror) 

Manchester United wanapanga kumnunua kiungo wa kati wa Atletico Madrid mwenye umri wa miaka 25 Conor Gallagher. (Express)


#ChanzoBbcswahili

Hakuna maoni: