Breaking


Jumanne, 2 Septemba 2025

TUMEKUJA KUSIKILIZA ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI HAPA BUKOMBE - GEITA




Makundi mbalimbali ya Wananchi wakiwa tayari kusikiliza Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2025-2030  kupitia Wagombea Ubunge na Udiwani Mkoa wa Geita ikiwa leo ni siku ya uzinduzi wa Kampeni za CCM mkoani Geita  kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.


#ChaguaCCM

#OktobaTunatiki

#MchagueSamia

#MchagueBiteko

#KusemaNaKutenda

#KaziNaUtuTunasongaMbele


Hakuna maoni: