Breaking


Ijumaa, 26 Septemba 2025

VIWANJA VYA MAZOEZI VYA AFCON KUONGEZWA


Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa amesaini Mkataba wa ujenzi wa viwanja vitatu vya mazoezi vitakavyotumika katika mashindano ya AFCON  mwaka 2027 na  Kampuni ya Reform Sports ya Uturuki.




Mkataba huo umesainiwa tarehe 26 Septemba, 2025 jijini Dar es Salaam, ambapo viwanja vitakavyojengwa ni Gymkhana II, Leaders na Uwanja wa Farasi.


.#Official-Isharoja

Hakuna maoni: