Breaking


Ijumaa, 17 Oktoba 2025

BODA BODA TUKO PAMOJA NA DKT. SAMIA NA OKTOBA 29, TUNATIKI KURA YA NDIYO.





Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) ambaye pia ni Mratibu wa Kampeni za CCM Jijini DSM, tarehe 16 Oktoba, 2025, akutana na Maafisa Usafirishaji (Boda Boda) wa Kata ya Kinyerezi Jimbo la Segerea, Wilaya ya Ilala jijiji DSM, na kuwataka kutofuata maudhui machafu yanayorushwa kwenye mitandao ya kijamii kutoka kwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani ambayo hawana nia njema na Taifa la Tanzania, Badala yake wajiamini na kujitokeza kwa wingi kupiga kura ya ndiyo kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kumchagua Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea Bonnah Kamoli, pamoja na Madiwani wote wa Kata ndani ya Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)

Hakuna maoni: