Breaking


Ijumaa, 10 Oktoba 2025

TETESI ZA SOKA ULAYA IJUMAA: EVERTON WANAMNYEMELEA KALVIN PHILLIPS MANCHESTER CITY

Everton wanachunguza kwa makini uwezekano wa kumtia mkononi kiungo wa Manchester City Kalvin Phillips ,29, mwezi Januari. (Football insider)

Liverpool ni miongoni mwa vilabu kadhaa vya ligi kuu ya premier vilivyo na ari ya kumsajili kiungo wa kati wa Crystal Palace Adam Wharton ,21, kutoka Crystal Palace. (Mail )

Brentford haina azma ya kumpa mkataba Michail Antonio raia wa Jamaica aliye na umri wa miaka ,35, licha ya aliyekuwa mshambuliaji huyo wa West Ham kufanya nao mazoezi. (Bees)

#ChanzoBbcswahili


Hakuna maoni: