Wakati huo huo, uchunguzi unaendelea huku familia ikifanya uchunguzi wa pili wa maiti wakisubiri majibu yatakayoweza kutoa mwanga juu ya kilichotokea.
Taarifa za kuwepo kwa mzozo kati ya Ashlee na mchumba wake, Joe McCann, kabla ya tukio hilo zimezidi kuwa sehemu muhimu ya uchunguzi, huku familia ikisisitiza kuwa marehemu hakuwa na dalili zozote za kujidhuru.
Katika hatua nyingine, familia imepanga kusafiri hadi Tanzania kufuatilia kwa karibu uchunguzi huo, wakiamini kuwa kuna ukweli zaidi ambao bado haujawekwa wazi kuhusu kifo cha mpendwa wao.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni