Mshambuliaji wa Manchester United Marcus Rashford, 27, anataka kusalia Barcelona ambako anacheza kwa mkopo wa msimu mzima katika klabu hiyo ya Uhispania, ambayo ina chaguo la kumsajili mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza kwa mkataba wa kudumu mwishoni mwa msimu. (ESPN)
Manchester United wako tayari kusawajili viungo wawili wapya mwaka 2026, huku mchezaji wa kimataifa wa Brazil mwenye umri wa miaka 21 Andrey Santos akiwa miongoni mwa wachezaji sita wanaoteuliwa akiwemo Carlos Baleba, 21, wa Brighton na Cameroon . (Talk sport)
Mshambulizi wa Newcastle United na Ujerumani Nick Woltemade, 23, bado ana matumaini ya kuichezea Bayern Munich katika siku zijazo. (Bild - kwa Kijerumani)
#ChanzoBbcswahili

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni