Breaking

Alhamisi, 23 Oktoba 2025

WANAWAKE TUTAKUPA KURA ZA KISHINDO OKTOBA 29.

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Ndugu Mary Pius Chatanda (MCC), amemuhakikishia Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuwa wanawake wa Dar es Salaam kuwa watamchagua kwa  kura za kishindo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.


Chatanda ametoa ahadi hiyo katika  mkutano wa hadhara wa kampeni wa CCM uliofanyika katika Uwanja wa TANESCO, Buza Jijini Dar es Salaam, tarehe 23 Oktoba, 2025.

Hakuna maoni: