Breaking

Ijumaa, 28 Novemba 2025

BINZARI (MANJANO) NA MDALASINI: DUA ASILI YA KUTIBU MATATIZO YA UZAZI NA MAUMIVU YA HEDHI


Leo tunazungumzia faida za binzari manjano na mdalasini kwa wanawake. Dawa hii ya asili inasaidia katika matatizo mbalimbali ya uzazi.

1. Hutibu uvimbe maji kwenye mayai yaani Ovarian Cyst.

2. Hupevusha na kukomaza  mayai ili ubebe ujauzito kiurahisi.

3. Huponya maumivu ya hedhi 

4. Hutibu chango la uzazi.

5. Inaondoa sumu ya uzazi wa mpango mwilini kwa walioathiriwa na sumu za uzaziwampangozakizungu. .

6. Huzibua mirija iliyoziba, mirija iliyojaa maji na mirija iliyojaa uchafu.

6. Inatibu makovu kwenye kizazi na  kwenye mirija.

MAANDALIZI. 

Chukua binzari manjano nyingi anika badaye saga upate  unga wake ambao utakuwa unatumia kila unapohitaji kujitibu 

Vilevile chukua mdalasini mwingi kisha usage unga wake ambao utakuwa unatumia kila unapohitaji.


MATUMIZI YAKE KWA MATATIZO YALE JUU:


1. Weka kijiko kimoja cha unga wa mdalasini na kijiko kimoja cha unga wa binzari manjano pamoja kijiko kimoja cha asali kwenye maji ya moto au uji wako.Tumia bila sukari namaanisha usiweke sukari . Tumia kwa siku 30 mfululizo asubuhinajioni.


Au


2. Weka kijiko kimoja cha unga wa mdalasini ,kijiko kimoja cha unga wa binzari manjano pamoja na kijiko kimoja cha asali kwenye maji fresh uliyoyachemsha yakachemka. Koroga tumia .Tumia mara mbili kwa siku kila siku kwa muda wa siku 30


Angalia njia moja hapo itakayokuwea rahisi kutumia.

Kumbuka: Asili huponya, lakini hakikisha unafuata matibabu haya kwa uangalifu.



#SabriHading’oka✍🏾✍🏾

Hakuna maoni: