Breaking

Alhamisi, 13 Novemba 2025

DKT MWIGULU APOKELEWA OFISI YA WAZIRI MKUU


Waziri Mkuu Mteule Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akipokelewa na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, kwenye makazi ya Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma Novemba 13, 2025.


Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Nchemba ameteuliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na kuthibitishwa na bunge. 

Hakuna maoni: