Leo tunakuletea muhtasari wa habari zilizopo kwenye kurasa za mbele za magazeti mbalimbali nchini, Novemba 29, 2025.
Magazeti yameandika kuhusu siasa, uchumi, michezo, jamii, na taarifa nyingine zinazovutia wadau wa habari.
MWANASPOTI
- YANGA MDOGO MDOGO: Yanga yaitesa JS Kabylie kwenye mchezo wao wa CAF, ikiibuka na ushindi muhimu.
- NI MAGEUZI: Simba yapitia mabadiliko makubwa kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Stade Malien.
- Habari nyingine zikiwemo masuala ya slot, EPL na taarifa za usajili.
HABARILEO
- SERIKALI: IPENI NAFASI TUME: Serikali yatoa tamko kuhusu vurugu za uchaguzi na kuahidi maboresho.
- KITUO CHA WAWEKEZAJI VIJANA KUANZA MWEZI HUU
- ULEGA AWAPA TANROADS ‘ZIGO’ LA FOLENI: Waziri atoa maagizo kuhusu msongamano.
- SGR KUANZA KUSAFIRISHA MIZIGO FEBRUARI
- TANZANIA HAIFUNGWI UAMUZI BUNGE EU: Serikali yakanusha taarifa zilizosambaa mtandaoni.
















Hakuna maoni:
Chapisha Maoni