Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania, TMA, imesema kuwa maeneo machache nchini yanatarajiwa kuwa na mawingu kiasi, vipindi vya jua, na mvua katika maeneo ,
- Kagera: Mvua kidogo, upepo mdogo.
- Mtwara: Mvua nyepesi sehemu mbalimbali.
- Ruvuma na Lindi: Vipindi vya mvua na jua.
- Unguja na Pemba: Mawingu kidogo, jua.
- Dar es Salaam na Tanga: Mawingu kiasi, jua.
- Kigoma, Katavi na Tabora: Jua na mawingu.
- Morogoro, Singida na Dodoma: Mawingu kidogo, jua.
- Arusha, Manyara na Kilimanjaro: Vipindi vya jua, mawingu kidogo.
- Pwani (ikijumuisha Mafia): Jua na mawingu kidogo.
- Rukwa, Iringa, Njombe, Songwe na Mbeya: Mvua nyepesi, jua.
- Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Mara: Mawingu kidogo, jua.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni