Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akiongea na baadhi ya Viongozi pamoja na Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais mara baada ya kuwasili katika Ofisi hiyo. Kulia kwake ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Festo Dugange na Kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Mhandisi. Cyprian Luhemeja.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni