Breaking

Alhamisi, 4 Desemba 2025

BAJABER KACHUKUA KAWEKA WAAAH

  Kikosi cha Simba SC kimeendelea kutikisa Ligi Kuu ya NBC baada ya kupata ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Mbeya City FC, katika mchezo uliochezwa leo katika uwanja wa Mej. Gen Isamuhyo jijini Dar es Salaam.

 Ushindi huo umeongeza morali ya kikosi hicho ambacho kimeonekana kurejea kwenye kiwango chake cha juu.

Simba ilianza mchezo kwa kasi, ikimiliki mpira kwa muda mwingi na kuisukuma nyuma Mbeya City ambayo ilisita kutengeneza nafasi za wazi kutokana na presha ya muda wote kutoka kwa wenyeji.

  • ⚽ Morice
  • ⚽ Sowah
  • ⚽ Bajaber

cha Simba SC kimeendelea kutikisa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026 baada ya kupata ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Mbeya City FC, katika mchezo uliochezwa leo jijini Dar es Salaam. Ushindi huo umeongeza morali ya kikosi hicho ambacho kimeonekana kurejea kwenye kiwango chake cha juu.

Simba ilianza mchezo kwa kasi, ikimiliki mpira kwa muda mwingi na kuisukuma nyuma Mbeya City ambayo ilisita kutengeneza nafasi za wazi kutokana na presha ya muda wote kutoka kwa wenyeji.

Hakuna maoni: