Breaking


Jumapili, 14 Desemba 2025

DKT. NCHIMBI AWASILI BUKOBA KWA AJILI YA UWEKAJI JIWE LA MSINGI LA KAMPASI YA UDSM

 



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 14 Desemba 2025. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mkoa wa Kagera, itakayofanyika tarehe 15 Desemba 2025.

Hakuna maoni: