Erling Haaland ameendelea kuandika historia katika Ligi Kuu England baada ya kufikia mafanikio makubwa kwa kasi ya ajabu.
⚡ Haaland ndiye mchezaji aliyefanikiwa kufikisha rekodi kwa haraka zaidi kwenye EPL kufikia:
▪️ Magoli 20 — mechi 14 pekee
▪️ Magoli 30 — mechi 27
▪️ Magoli 40 — mechi 39
▪️ Magoli 50 — mechi 48
Na sasa, ameweka rekodi mpya kwa kuwa mchezaji wa kasi zaidi kufikisha magoli 100 katika historia ya Premier League. ⚽🔥
Anaendelea kuthibitisha ubora wake kama mmoja wa washambuliaji hatari zaidi duniani.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni