Breaking


Jumatatu, 15 Desemba 2025

HAFLA YA MAPOKEZI YA TUZO ZA UTALII DUNIANI


Viongozi wa Wizara na Taasisi zake wakiwa tayari kushuhudia mapokezi ya Tuzo za Utalii Duniani, tayari kukabidhiwa kwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Ashatu Kijaji (Mb).

Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita Tanzania ilishinda jumla ya Tuzo tano (5) katika sherehe za kilele cha utoaji wa Tuzo za Utalii Duniani zilizofanyika nchini Bahrain.

Ushindi huu unaendelea kuitangaza Tanzania kimataifa kama kivutio bora cha utalii duniani.


#DestinationTanzania

Hakuna maoni: