Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetangaza makundi ya michuano ya Kombe la Dunia 2026, ambayo yatafanyika nchini Marekani, Canada na Mexico. Timu shiriki zimepangwa katika makundi mbalimbali kwa kuzingatia viwango, historia na ubora wa timu hizo katika hatua za kufuzu.
Makundi hayo yanalenga kutoa ushindani wa hali ya juu na kuonesha mvuto mpya wa mfumo mpana wa timu 48 zitakazoshiriki kwa mara ya kwanza katika historia ya Kombe la Dunia.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni