Karibu kwenye Meza ya Magazeti ya leo Desemba 08, 2025, tukikuletea muhtasari wa habari kubwa zilizobeba uzito kwenye kurasa za mbele za magazeti ya Tanzania.
MWANASPOTI
Habari Kuu
- Pande Mbili: Kocha Mpya Simba
Simba SC yapewa kocha mpya huku pande mbili zikielezwa kuhusika kwenye maamuzi hayo.
Habari Nyingine
- Bingwa World Cup Huyu Hapa!
- Yanga Hii… Ngoja Tuone Itakuwaje!
- Matola aulizwa maswali mazito, Mnyama akipasuka kwa Azam FC (0–2).
- Azam iachane na vya bure.
- Lebo mpya na maumivu.
MWANANCHI
Habari Kuu
- Mufti, Dk Malasusa walia na udini, chuki
Viongozi wa dini wakemea matamko yanayoweza kuchochea mgawanyiko na chuki zisizo na tija kwa Taifa.
Habari Nyingine
- Maagizo mapya kukabiliana na kero ya foleni.
- Sherehe zinavyowapewa kipaumbele kuliko ndoa.
- Cynthia Yalimba: Msomi aliyevunja rekodi ya muongo mmoja UDSM.
- Msigwa: Tanzania inajitosheleza bila msaada.






















Hakuna maoni:
Chapisha Maoni