Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa hali ya hewa kwa kipindi cha saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo, tarehe 21 Desemba 2025, ukionesha uwepo wa mawingu, mvua na ngurumo katika mikoa mbalimbali nchini, huku maeneo mengine yakitarajiwa kupata vipindi vya jua.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni