Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini imetoa angalizo kwa wananchi kuhusu uwepo wa vipindi vifupi vya mvua kubwa vinavyotarajiwa kujitokeza katika maeneo machache ya Mikoa ya Kigoma, Tabora na Katavi ndani ya saa 24 zijazo. Wananchi wanashauriwa kuchukua tahadhari stahiki, hasa katika maeneo yenye miinuko, mabonde na karibu na vyanzo vya maji.
Jumatatu, 22 Desemba 2025
🌦️ UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
Tags
# UTABIRI
About Madelemo News
Independent Journalism. In-Depth Analysis. Trusted Reporting. Madelemo News is your go-to digital media platform for comprehensive news, insightful analysis, and stories you can trust. Stay informed, stay ahead.[Read Analysis] Contact Us madelemonews@gmail.com +255 714 195 999
UTABIRI
Labels:
UTABIRI
Independent Journalism. In-Depth Analysis. Trusted Reporting. Madelemo News is your go-to digital media platform for comprehensive news, insightful analysis, and stories you can trust. Stay informed, stay ahead. [Read Analysis] Contact Us @madelemonews@gmail.com +255 714 195 999
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni