Mamlaka ya hali ya hewa imetoa utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kwa mikoa mbalimbali ya Tanzania, kuanzia saa 3:00 usiku wa leo. Utabiri huu unalenga kuwawezesha wananchi kupanga shughuli zao za kila siku kwa kuzingatia mabadiliko ya hali ya hewa yanayotarajiwa.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni