Breaking

Alhamisi, 4 Desemba 2025

VIWANGO VYA KUBADILISHA FEDHA LEO ALHAMIS DESEMBA 04. 2025


Taarifa ya viwango vya fedha na dhahabu kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) leo 04 Desemba, mwaka 2025.


Kwa upande wa Dola ya Marekani, USD, ununuzi ni shilingi 2,419.20, huku uuzaji ukiwa shilingi 2,443.39.


Pauni ya Uingereza, GBP, inanunuliwa kwa shilingi 3,220.19, na kuuzwa kwa shilingi 3,252.40.


Sarafu ya Umoja wa Ulaya, Euro, inanunuliwa kwa shilingi 2,823.20, na kuuzwa kwa shilingi 2,851.44.


Yuan ya China, CNY, inanunuliwa kwa shilingi 342.48, na kuuzwa kwa shilingi 345.90.


Yen ya Japan, JPY, inanunuliwa kwa shilingi 15.56, huku uuzaji ukiwa shilingi 15.72.


Randi ya Afrika Kusini, ZAR, inanunuliwa kwa shilingi 141.68, na kuuzwa kwa shilingi 143.10.


Kwa upande wa sarafu za Afrika Mashariki:

Shilingi ya Kenya, KES, inanunuliwa kwa shilingi 18.69, na kuuzwa kwa shilingi 18.88.

Faranga ya Rwanda, RWF, inanunuliwa kwa shilingi 1.65, na kuuzwa kwa shilingi 1.67.

Shilingi ya Uganda, UGX, inanunuliwa kwa shilingi 0.68, na kuuzwa kwa shilingi 0.69.

Nayo faranga ya Burundi, BIF, inanunuliwa kwa shilingi 0.81, na kuuzwa kwa shilingi 0.82.


Katika soko la madini, dhahabu imenukuliwa kwa bei ya shilingi 10,221,716.43 kwa ununuzi, na shilingi 10,323,933.60 kwa uuzaji kwa kila wakia moja ya dhahabu.

 

Hakuna maoni: