Breaking


Alhamisi, 1 Januari 2026

MINERAL INDICATIVE PRICES Jan. 01, 2026




Leo  Januari 1, 2026 Tume ya Madini (Mining Commission) imetangaza bei elekezi za madini  zikihusisha madini ya Fedha (Silver) na Dhahabu (Gold). 

Bei hizi hutumika kama mwongozo kwa wachimbaji, wafanyabiashara wa madini pamoja na vituo vya ununuzi nchini.


Hakuna maoni: