Tume ya Madini imetangaza bei elekezi za madini kwa tarehe ya leo, Januari 17, 2026, kwa lengo la kutoa mwongozo kwa wachimbaji, wafanyabiashara wa madini na vituo vya ununuzi nchini kulingana na mabadiliko ya soko la dunia.
Bei elekezi hutumika kama mwongozo wa kisheria katika biashara ya madini na zinaweza kubadilika kulingana na
- Mabadiliko ya bei katika soko la dunia
- Thamani ya fedha ya Kitanzania
- Ubora na kiwango cha madini husika
Wadau wa sekta ya madini wanahimizwa kuzingatia bei hizi elekezi katika shughuli zao za kila siku ili kuhakikisha uwazi, haki na ulinzi wa maslahi ya wachimbaji na Serikali kwa ujumla.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni