Uwekezaji, imezindua mpango maalumu wa kuhamasisha uwekezaji nchini, unaombatana na kampeni ya Kitaifa ya kuhamasisha uwekezaji kwa wawekezaji wa ndani ya nchi.
Akizumgumza jijini Dar es Salaam baada ya kuzindua mpango huo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo, amesema kampeni ya kuhamasisha uwekezaji wa ndani itafanyika nchi nzima ikitekelezwa na Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi (TISEZA).
Mkurugenzi wa TISEZA Gilead Teri, amesema lengo moja wapo katika kampeni hiyo ni kuifikia miradi 1,500 ambayo imesajiliwa ndani ya mwaka mmoja.




Hakuna maoni:
Chapisha Maoni