Klabu ya Singida Black Stars imetangaza kumbadilishia majukumu Kocha Mkuu, Miguel Gamondi na kumteua kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa klabu.
Aidha, klabu hiyo imesema haina pingamizi lolote kwa Gamondi kuteuliwa kuwa kocha mkuu wa kudumu wa Taifa Stars endapo mamlaka itaona anafaa.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni