Klabu ya singida black stars imetangaza kumsimamisha kazi miezi mitatu kiungo Khalid Aucho Kwa kosa la utovu WA nidhamu na kuchelewa kufika kazini.
singida black stars pia imemsimamisha kazi mlinda mlango Aman Obasogie Kwa kipindi cha miezi mitatu Kwa tuhuma zinazohusiana na upangaji WA matokeo.
Taarifa rasmi kutoka klabu ya singida bs kupitia kamati ya Nidhamu imesema hatua hizo NI sehemu ya jitihada za kudumisha Nidhamu na uwajibikaji Ndani ya klabu hiyo.



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni