Breaking


Jumatano, 8 Aprili 2026

MTAZAMO WA TPSF: KULINDA UZALISHAJI NA UKUAJI KATIKA KIPINDI CHA KUPANDA KWA BEI ZA MAFUTA


Shirikisho la sekta binafsi Tanzania (TPSF)  imeandaa andiko la kisera pamoja na mapendekezo yanayolenga kukabiliana na athari za kupanda kwa bei za mafuta katika uzalishaji na uchumi kwa ujumla. 


Kupitia andiko hilo, TPSF inapendekeza hatua mahsusi za kisera zitakazosaidia kulinda biashara, kuimarisha uzalishaji wa viwanda, na kuhakikisha uchumi unaendelea kukua licha ya changamoto ya mabadiliko ya bei za mafuta.

Hakuna maoni: