Kupitia meza hii, utapata fursa ya kuangalia kwa ufupi vichwa vya habari vikubwa vinavyozungumziwa leo katika nyanja za siasa, uchumi, michezo pamoja na matukio ya kijamii.
Magazeti mengi ya leo yameangazia masuala mbalimbali ikiwemo maendeleo ya kisiasa nchini, hali ya uchumi, miradi ya maendeleo pamoja na matukio mengine muhimu yanayoendelea ndani na nje ya nchi.
Pia kurasa za michezo zimeendelea kuangazia matokeo ya ligi mbalimbali pamoja na tetesi za usajili wa wachezaji barani Ulaya.Endelea kufuatilia Meza ya Magazeti kila siku ili kujua kwa haraka kile kinachoandikwa na magazeti makubwa nchini pamoja na mada zinazovuta hisia za wasomaji.


























Hakuna maoni:
Chapisha Maoni