Waziri wa Nishati,Deogratius Ndejembi amekutana na kufanya kikao kazi cha pamoja na Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati zinazoshughulikia mafuta leo Aprili 07, 2026 jijini Dodoma.
Kikao hicho kimehudhuriwa na Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, Katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi, Dkt. James Mataragio, Wataalamu kutoka wizarani pamoja na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya wizara zinazoshughulikia mafuta na gesi.





Hakuna maoni:
Chapisha Maoni