🗣"Mechi ya fainali ya AFCON 2025 kati ya Senegal na Morocco, si jambo muhimu la kuendelea kulijadili, suala hilo lipo CAS ambayo ni chombo cha juu cha maamuzi katika masuala ya soka, CAF tutaheshimu na kutekeleza uamuzi wowote utakaochukuliwa na CAS".
"Ahadi yetu CAF ni kuvitendea haki na bila upendeleo vyama vyote vya wanachama wa CAF, Hakuna chama kitapokea upendeleo.”
🗣"CAF tuna hakika kwamba mataifa ya Afrika yanayoshiriki Kombe la Dunia la FIFA 26 yatatuwakilisha Afrika kwa heshima.”
CAF inafanyia marekebisho Sheria na Kanuni zake ili kuimarisha imani katika waamuzi, VAR na vyombo vyake vya mahakama.
🗣"CAF inatekeleza mageuzi yake kimuundo kwa Sheria na Kanuni zake ili kuimarisha imani kwa waamuzi, VAR na vyombo vya mahakama vya CAF."
Patrice Motsepe, Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF)

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni