Breaking


Jumapili, 1 Machi 2026

RAIS SAMIA AKUTANA NA ANTONIO RUIZ-GIMENEZ JR


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Keep a Child Alive, Antonio Ruiz-Giménez Jr. na Ujumbe wake pamoja na Mkurugenzi wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation Bi. Doris Mollel, tarehe 1 Machi, 2026 Ikulu Jijini Dar es Salaam.




Pamoja na masuala mengine mazungumzo hayo yalijikita kuimarisha ushirikiano baina ya Serikali na Taasisi hiyo katika kuboresha huduma za uzazi na afya ya mama na mtoto nchini.

Hakuna maoni: