Breaking


Jumatatu, 2 Machi 2026

RAIS SAMIA AMPOKEA RAIS JOHN DRAMANI MKOANI ARUSHA




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt, Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha alipompokea Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ghana  John Dramani Mahama alipowasili Ikulu Ndogo Mkoani Arusha leo Machi 02 Machi 2026. 

Hakuna maoni: