Breaking


Jumamosi, 28 Machi 2026

RAIS SAMIA AONGOZA WATANZANIA KUAGA MWILI WA MAREHEMU WILLIAM LUKUVI






 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan alipoongoza Watanzania kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, Marehemu  William Lukuvi katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2026.

Hakuna maoni: