Kocha Liam Rosenior amethibitisha kuwa kiungo Enzo ataendelea kuwa sehemu ya kikosi licha ya kufungiwa kucheza mechi mbili zijazo.
Rosenior amesema Enzo ataendelea kushiriki mazoezi ya timu kama kawaida na kubaki ndani ya mipango ya benchi la ufundi, akisisitiza kuwa adhabu hiyo haiathiri nafasi yake ndani ya kikosi kwa ujumla.
Kauli hiyo inaashiria imani kubwa ya kocha kwa mchezaji huyo huku akitarajiwa kurejea uwanjani mara baada ya kifungo chake kumalizika.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni